USAJILI WA GOALKEEPER WA TIMU YA REAL MADRID
Timu ya Real Madrid imekamilisha usajili wa
goalkeeper Keylor Navas raia wa nchi ya
Costa Rica
Kocha Carlo Ancelloti amempa mkataba wa
miaka sita kuichezea klabu ya Real Madrid
akitokea katika timu ya Levante ambayo pia
ni timu shiriki katika ligi kuu ya uhispania
almaarufu kama LA LIGA
kipa huyo atajiunga na kambi ya timu hiyo
baada ya uchunguzi wa kiafya chini ya timu
ya madaktari wa timu hiyo
No comments:
Post a Comment