ISMAIL ADEN RAGE APATA AJALI JUZI
Mwenyekiti mstaafu wa Simba Ismail Aden Rage alilazwa jana katika
Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Dodoma General, alinusurika kifo baada ya kupata
ajali ya gari eneo Chigongwe, nje kidogo ya Manispaa ya Dodoma iliyomsababishia
kujeruhiwa sehemu mbalimbali pamoja na watu aliokuwa akisafiri nao.
Alikuwa njiani akielekea katika vikao vya bunge la katiba mjini humo
No comments:
Post a Comment