Mabingwa wa ujerumani msimu uliopita klabu ya Bayern Munich au
‘THE BAVARIAS’ wapo katika mpango wa
kumsajili goalkeeper namba mbili Pepe Reina wa timu ya MAJOGOO WA
JIJI Liverpool na pepe reina aelekea kukubali ofa hiyo na kuihama timu
ya Liverpool baada ya kufanyiwa vipimo vya afya.
Pepe Reina
ni raia wa nchi ya Hispania amekosa kuwa
chaguo la kwanza la kocha Brendan Rogers katika msimu uliopita baada ya kusajiliwa
kwa goalkeeper Simon
Mignolet ambaye ni namba moja wa Liverpool akitokea katika ligi bora
duniani ya Serie A katika timu ya Napoli.
No comments:
Post a Comment