Thursday, August 7, 2014

MTAA KWA MTAA BLOG: FLORA MVUNGI AINGIA KWENYE BONGO FLEVA

Idadi ya wasanii wa filamu za kibongo kwenye muziki wa bongo fleva yaongezeka baada ya msanii wa filamu za kibongo almaarufu kwa jina la Flora mvungi A.K.A mama H.Baba na alipoouliza kwanini ameamua kuingia katika soko la kizazi kipya akadai kuwa hajafuata mkumbo kwa wasanii wenzake wa bongo movie kama wakina shilole "shishi baby" au Snura "Mama majanga" bali ye ni muimbaji toka mda mrefu na ana kipaji toka mda mrefu ila hakupata fursa ya kufahamika kwani alianza kuimba kabla ya kuwa msanii wa filamu, na ameimba nyimbo nyingi zilizotumika katika movie mbalimbali ila sasa kaja kivingine akiwa rasmi katika bongo fleva kwaiyo mashabiki wategemee kusikia single yake mpya iitwayo KIDOGO  ambayo itatoka na video yake hivi karibuni, Katika wimbo huo ameshirikiana na mume wake H.Baba na ameahidi kwa Watanzania kuwa wategemee nyimbo nyingi zaidi toka kwake...................................................

No comments:

Post a Comment