fig.MODAL YA FORMULA YA ASPRIN |
Saratani ni moja ya magonjwa yasiyo na tiba maalumu hivyo
kuwafanya wanasayansi wa tiba kufanya tafiti mbalimbali ili kuweza kugundua
tiba itakayofaa kwa ajili ya kutibu ama kupunguza kasi ya magonjwa ya saratani
kwa mwanadamu na hilo limedhihirika baada ya tafiti ilofanyika nchini uingereza.
Ambapo watafiti hao wameshauri juu ya matumizi ya dawa hiyo
ili kupunguza magonjwa ya saratani na
tafiti hiyo imewalenga sana kwa watu wenye umri kuanzia miaka hamsini(50) na
kuendelea kutumia dawa hiyo kila siku ila kwa kufuata ushauri wa daktari kwanza
kwani wanaamini dawa ya asprini ina uwezo wa kupunguza idadi ya watu wanaopata
saratani ya tumbo.
No comments:
Post a Comment