- Kila siku moyo hutengeneza nguvu ya kutosha ya kuendesha lori moja umbali wa maili 20
- Ambayo kwa maisha ya yote ya mwanadamu nguvu hiyo yatosha kwenda kutalii mwezini na kurudi
- Moyo husafirisha damu katika seli za mwili kama trillion 75
- Katika mwili wa binadamu ni sehemu moja tuu isiyopokea damu nayo ni ‘kornea cornea’ katika jicho la mwanadamu
- Moyo kazi nyingi za misuli yoyote katika maisha yote ya mwanadamu.
No comments:
Post a Comment