Thursday, August 7, 2014

STARS NEWS; DIAMOND AWAPONDA WAANDAJI WA VIDEO WA TANZANIA



  Dharau na kutojali muda, mapozi pia usumbufu wao ndio chanzo kikuu cha msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye ni STAR anayen’gaa Africa na nje ya Africa anayefahamika kwa jina la Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’kwenda kushoot video za nyimbo zake kwa waandaaji wa nje ya Tanzania kama OGOPA kutoka kenya na GODFATHER kutoka south Africa .
Akaongeza kuwa waandaji wa Tanzania wanatengeneza kazi nzuri ila wana hayo matatizo ya kuwa, mapozi na dharau na kutojali muda kitu kinachofanya kushusha hata hali ya muziki wa bongo flava so wabadilike ili watu wawape kazi na kulipana mpunga kama kawaida
Na wasanii wengi wameanza fuata nyayo za diamond katika kushoot video za nyimbo zao nje ya Tanzania wasanii hao ni kama OMMY DIMPOZ na video yake ya NDEGUSHIMA, LINAH SANGA na video ya OLE THEMBA, na nyingine ya SHETA FT DIAMOND na video yao ya KEREWA zote zikiwa zimefanyiwa shooting nchini South africa ……………………………………………………………………………………………………

No comments:

Post a Comment