Thursday, August 7, 2014

TAIFA STARS,TWIGA STARS NA VIWANGO VIPYA VYA FIFA

Baada ya timu ya  Mpira wa miguu ya wanaume taifa stars kufungwa goli mbili moja (2-1) THE BLACK MAMBA wiki iliyopita Tanzania inashika nafasi ya 106 katika viwango vya timu bora duniani huku kwa east Africa tukiongozwa na

  • Uganda nafasi ya 87
  • Kenya nafasi ya 95

Na kwa dunia nzima tukiongozwa na ujerumani Argentina pamoja na uholanzi wanaoshika nafasi zufuatazo

  • Ujerumani nafasi ya 1
  • Argentina nafsi ya 2 name
  • Uholanzi nafasi ya 3
NA KWA TWIGA STARS
Timu ya taifa ya wanawake ya mpira wa miguu inashika nafasi ya 114 katika viwango vya timu bora za wanawake huku ikiongozwa na U.S.A, Ujerumani, na Japan katika nafasi zifuatazo;
  • U.S.A katika nafasi ya 1
  • Ujerumani katika nafasi ya 2
  • Japani katika nafasi ya 3

No comments:

Post a Comment