Saturday, August 2, 2014

MTAA KWA MTAA BLOG : Top African stars join ONE in Washington DC for Historic US-Africa Leaders Summit

MTAA KWA MTAA BLOG : Top African stars join ONE in Washington DC for Historic US-Africa Leaders Summit

MTAA KWA MTAA BLOG : TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA UGONJWA WA EBOLA

MTAA KWA MTAA BLOG : TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA UGONJWA WA EBOLA

MTAA KWA MTAA BLOG: TAMASHA LA MATUMAINI 2014, INJILI KUTIKISA TAIFA

TAMASHA LA MATUMAINI 2014, INJILI KUTIKISA TAIFA

MTAA KWA MTAA BLOG : NEY WA MITEGO AANIKA UTAJIRI NA MALI ZAKE

Miezi miwili iliyopita msanii Ney wa mitego alianika utajiri wa ajabu zikiwemo nyumba nne na gari moja ya kisasa Nissan Murano!! Ambapo aliyekuwa Manager wa Ney amesema tangu aachane na Ney miezi 7 iliyopita alikuwa hana hata nyumba moja.

Ameshangaa kumuona ana nyumba nne ghafla lakini manager amesema inawezekana jamaa anatafuta kiki ili watu wanaomuita kwenye show wafikirie kumpa mpunga mrefu na si laki laki wanazolipwa kwenye fiesta pia kujitengenezea umaarufu kwa mashabiki zaidi ya ule anaoupata kwa kuimba.

Amefunguka kwamba Ney kuwa na hizo nyumba basi itakuwa ni miujiza.
Lakini NEY tuliweza kumtafuta ili atupe taarifa zaidi hakuweza kuongelea swala hill...............

MTAA KWA MTAA BLOG : NCHI YA UGANDA NA VITA YA USHOGA NA USAGAJI

Mahakama ya kikatiba nchini Uganda imefutilia mbali sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja ambayo ilisababisha mataifa ya magharibi kuinyima msaada.

Kadhalika sheria hiyo ilizua gumzo sana sio tu Uganda bali kote duniani ambapo mataifa ya Magharibi yalilazimika kuingilia kati.

Mahakama ilisema kuwa mswada huo kabla ya kuidhinishwa kuwa sheria ulipitishwa na wabunge ambao idadi yao haikutosha kupitisha mswada na kwa hivyo ni kinyume na sheria.


Baadhi ya waandamanaji waliounga mkono serikali kwa kuharamisha mapenzi ya jinsia moja
Vitendo vya mapenzi ya jinsia moja, tayari vilikuwa vimeharamishwa Uganda , lakini sheria hiyo mpya pia iliharamisha hatua zozote za kueneza mapenzi ya jinsia moja na wakati huu hata kuwajumuisha wanawake wasagaji kama sehemu ya wapenzi wa jinsia moja.

Mataifa kadhaa ya Magharibi yamesitisha msaada kwa Uganda hasa baada ya sheria hiyo mpya kupitishwa.

MTAA KWA MTAA BLOG : MSANII MRISHO MPOTO AVAMIWA NA MAJAMBAZI............

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgiNhW5keHi2vnml-jrurGRt0ApeuzJZo7poGry_9nqRALC3rzRApMZhWegDpNZKUCaW9wSkp3z9TKDuMmGPVeokMM0XfhDTrH2dfXZPGhJv7iCtbyJxs5Z0JxkC2hEDJljGIqWsl41-48R/s1600/Mrisho%252BMpoto.JPGMsanii Mrisho Mpoto anasurika kuporwa fedha zake alipokuwa akizisafirisha kiholela bila msaada wa polisi ambapo alipigiwa simu na wafanyakazi wa benki husika kwamba hayupo salama kuna kundi la watu ambao wanahisiwa kuwa ni majambazi wanataka kumvamia....hali ilomfanya Mrisho Mpoto kuelekea moja kwa moja kwenye kituo cha polisi ili kupata ulinzi zaidi
Hata hivyo amewashukuru wafanyakazi wa benki hiyo kwa kumpa taarifa mapema na pia ushirikiano alioupata toka kwa polisi wa kituo husika.........................

MTAA KWA MTAA BLOG : PICHA ZA AJALI YA BASI LA MORO BEST

Hayo ni mabaki ya basi la MOROBEST baada ya kugongana na lori eneo la pandambili mida ya saa mbili asubuhi
Hayo ni mabaki ya lori lililosababisha ajali ambapo dereva na utingo wake walikufa papo hapo
Hao ni baadhi ya majeruhi 56 wa ajali hiyo
wananchi wakiendelea kutoa msaada katika eneo la ajali
wananchi wakiendelea kutoa msaada katika eneo la ajali

YASEMEKANA NDIYE PRESENTA MKALI NYANDA ZA JUU KUSINI

Anaitwa Fredrick Robert a.k.a robby robbenger ama muathirika wa virusi vya swagaaaaaaaa........................kila sauti yake ikikutana na MIC kinatokea kitu flani kizuri kwa afya ya maskio yako........research zisizo rasmi zinaonyesha kuwa hakuna mtu aliyewahi jutia kumsikiliza ......mshkaji ana swaggzzzzz zilizothibitishwa na TBS......brain yake imetawaliwa na asilimia 99.999999999999 za ubunifu hii imedhihirika alipokuwa katka kituo cha redio cha SAUTI FM mwanza kwa kutoa mavoice na maswaggz ya hatari kama vipi yasikilize kupitia hapa hapa na kumpa credits zake  kwamba mshkaji ni mkali na ana uwezo mkubwa katika fani ya uredio presenter
waweza kumcheki kwa makontare yafuatayo,,,,,,,,,,,,,,,,,
facebook: frero young pary
twitter: freee pary ................af tuone