Saturday, August 2, 2014

MTAA KWA MTAA BLOG : MSANII MRISHO MPOTO AVAMIWA NA MAJAMBAZI............

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgiNhW5keHi2vnml-jrurGRt0ApeuzJZo7poGry_9nqRALC3rzRApMZhWegDpNZKUCaW9wSkp3z9TKDuMmGPVeokMM0XfhDTrH2dfXZPGhJv7iCtbyJxs5Z0JxkC2hEDJljGIqWsl41-48R/s1600/Mrisho%252BMpoto.JPGMsanii Mrisho Mpoto anasurika kuporwa fedha zake alipokuwa akizisafirisha kiholela bila msaada wa polisi ambapo alipigiwa simu na wafanyakazi wa benki husika kwamba hayupo salama kuna kundi la watu ambao wanahisiwa kuwa ni majambazi wanataka kumvamia....hali ilomfanya Mrisho Mpoto kuelekea moja kwa moja kwenye kituo cha polisi ili kupata ulinzi zaidi
Hata hivyo amewashukuru wafanyakazi wa benki hiyo kwa kumpa taarifa mapema na pia ushirikiano alioupata toka kwa polisi wa kituo husika.........................

No comments:

Post a Comment