MTAA KWA MTAA BLOG

THE MOST APPROPRIATE WAY TO GET TANZANIAN STREET NEWS, GOSSIPS, STORIES, LIFESTYLE AND REAL LIFE ACTIONS............

Friday, August 1, 2014

MTAA KWA MTAA BLOG : SAKATA LA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU NA PESA ZAO ZA MAFUNZO KWA VITENDO(FIELD)


jana mda 10:00 am niliwasiliana na wizara kuhusu kuchelewa kwa pesa ya field kwa baadhi ya vyuo!majibu ni kama ifuatavyo(1) kwa kweli hili ni tatizo kubwa linalosugua vichwa vyetu kama watendaji wa wizara ila tunalitambua na toka last week tulikuwa kwenye ufumbuzi wa hilo jambo(2)tatizo kwa sasa sio wizara au loans board kazi imebaki hazina kutoa hizo pesa"nikauliza swali zinatoka lini ili kwa wale ambao hawajapata wajue namna gani ya kuishi na wanazidi kupata shida"majibu (3)ni kweli watu wanateseka tunajua na ni wengi tunalijua na zinahitajika pesa nyingi kwa hilo ila la kuongeza ni imani yangu wiki hii loans board watapokea hizo pesa kwa ajili ya wale wote ambao hawajapewa hizo pesa wapewe ni tatizo tu la ku- solve na litaisha mda sio mrefu,,HAYA NI MAHOJIANO YA MOJA KWA MOJA NA WIZARA kwa hiyo bado loans board hawajapokea pesa kutoka wizarani kwani kilichobaki ni hazina kutoa pesa lini?possibly this week TUTAENDELEA KUFUATILIA ILI WATU WAPEWE PESA ZAO ILI WAWEZE KUENDESHA MAISHA YAO "kwa leo"www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/697682-majibu-ya-wizara-kuhusu-pesa-ya-field-ni-haya.html#post10204311
Posted by Unknown at 3:14 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Blog Archive

  • ▼  2014 (34)
    • ►  08/17 - 08/24 (1)
    • ►  08/10 - 08/17 (14)
    • ►  08/03 - 08/10 (10)
    • ▼  07/27 - 08/03 (9)
      • MTAA KWA MTAA BLOG : Top African stars join ONE in...
      • MTAA KWA MTAA BLOG : TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUCHU...
      • MTAA KWA MTAA BLOG: TAMASHA LA MATUMAINI 2014, INJ...
      • MTAA KWA MTAA BLOG : NEY WA MITEGO AANIKA UTAJIRI ...
      • MTAA KWA MTAA BLOG : NCHI YA UGANDA NA VITA YA USH...
      • MTAA KWA MTAA BLOG : MSANII MRISHO MPOTO AVAMIWA N...
      • MTAA KWA MTAA BLOG : PICHA ZA AJALI YA BASI LA MOR...
      • YASEMEKANA NDIYE PRESENTA MKALI NYANDA ZA JUU KUSINI
      • MTAA KWA MTAA BLOG : SAKATA LA WANAFUNZI WA ELIMU ...

Translate

bussiness

  • Home
  • bussiness

About Me

Unknown
View my complete profile

Total Pageviews

Popular Posts

By MTAAKWAMTAA14.BLOGSPOT.COM all right reserved. Travel theme. Powered by Blogger.