Hayo ni mabaki ya basi la MOROBEST baada ya kugongana na lori eneo la pandambili mida ya saa mbili asubuhi |
Hayo ni mabaki ya lori lililosababisha ajali ambapo dereva na utingo wake walikufa papo hapo |
Hao ni baadhi ya majeruhi 56 wa ajali hiyo |
wananchi wakiendelea kutoa msaada katika eneo la ajali |
wananchi wakiendelea kutoa msaada katika eneo la ajali |
No comments:
Post a Comment