UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI UKAWA
watangaza kufanya maandamano nchi nzima endapo Rais hatatumia mamlaka yake kusitisha Bunge la Katiba linaendelea mini Dodoma.
Leo viongozi hawa wametangaza kuanza kwa maandamano nchi nzima pamoja na mikutano ya Hadhara kupinga shughuli zote zinazoendelea kufanywa na wajumbe mbalimbali kutoka vyama mbalimbali pale bungeni.
Pia wametoa rai kwa mheshimiwa rais Jakaya Mrisho Kikwete ambaye yupo ziarani nje ya nchi juu ya matumizi mabaya ya fedha za wananchi zinazotumika kila siku katika shughuli ambazo zinatakiwa zichunguzwe na msimamizi wa mahesabu was serikali.
No comments:
Post a Comment