Thursday, August 14, 2014

ASKOFU WA KANISA LA ASSEMBLIES OF GOD JELA MIAKA 32 KWA UPORAJI BENKI WA FEDHA ZAIDI YA BILIONI 5.3

Ni Jumanne Kilongola wa Arusha, amehukumiwa kifungo cha miaka 32 jela baada ya kupatikana na hatia ya uporaji katika Benki ya NBC, Tawi la Moshi mei 21, 2004.”
“Wamo pia Wakenya watano wote wanahukumiwa kwa kupora Sh5.3 billion, ndani ya Benki ya NBC.”
“Hukumu hiyo inafanya idadi ya waliofungwa kwa uporaji huo kufikia 12, baada ya Watanzania wanne kufungwa kwa kosa hilohilo Desemba 13, mwaka 2006.”

Chanzo: MWANANCHI.

No comments:

Post a Comment