Tuesday, August 12, 2014

BABA AMUUA MWANAE KWA KIPIGO CHA FIMBO

Katika mkoa wa Kilimanjaro Baba mzazi wa mtoto mwenye umri wa miaka minne, kamcharaza viboko mwanae katika sehemu mbalimbali za mwili wake na kumsababishia kifo chake muda mfupi na kisha kutokomea kusikojulikana mkoani Kilimanjaro.

Katika tukio hilo lililotokea Agosti 10, 2014 ambapo mtoto Nikolaus Morisi (04), mkazi wa Kijiji cha Kanji, Tarafa ya Kirua Vunjo, katika wilaya ya Moshi-vijijini, mkoani humo alikutwa akiwa amekufa pembezoni endelea hapa

No comments:

Post a Comment