Ni
daraja lililopo yombo kilakala,daraja hili linamilikiwa na wizara ya
uchukuzi chini ya mamlaka ya reli tanzania zambia yaani (tazara) upande
wa tanzania,daraja hili limekabidhiwa bahada ya kujengwa na serikali ya
watu wa china kwa tanzania mwaka 1975 ila cha kushangaza toka wakati uwo
serikali ya tanzania aijawai kulikarabati yaani limekuwa ni hatarishi
na wala halifai tena kwa matumizi ya binadamu hata wanyama , hili daraja
lina umbali wa kulinganisha nisawa na viwanja vya mpira wa miguu vitatu
kwenda juu.
Licha ya kuwa na njia ya treni kupita katika daraja hilo vilevile ni
kivuko cha waenda kwa miguu,hivyo tunaishauli serikali na mamlaka tazara
upande wa tanzania na waziri mwenye dhamana walifanyie ukatabati,kwani
halina tena kingo za pembeni yaani ni hatari hatari hata mbuzi anaogopa
kupita au walipige marufuku kupita kwa waenda na miguu
No comments:
Post a Comment