Kuelekea uchaguzi mkuu mwakani kuna wabunge wengi sn hawatarudi.
Karibu nusu ya wabunge waliopo sasa watakua wanaangalia bunge kupitia
TV. Kuna watakaochujwa kwny kura za maoni ndani ya vyama vyao, lakini
wengine wataangushwa kwny uchaguzi mkuu.
Kwa maoni yangu hawa ndio wabunge 10 ambao WANA UHAKIKA wa kutokurudi
bungeni mwakani. Hawa wataungana na wengine zaidi ya 100 ambao safari
yao pia inaishia mwakani.!
1.Cyril August Chami-Moshi (V)
(Ameshindwa kuleta maendeleo jimboni, wananchi wamemkinai na pia chama chake kimepoteza umaarufu jimboni kwake).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.
2.Said Arfi-Sumbawanga (m).
(Wananchi wamemkinai na chama chake kimemchoka).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.
3.John Shibuda-Maswa (mash)
(Wananchi wamemkinai na chama chake kimemchoka).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.
4.Aggrey Mwanri (Siha).
(ana uwezo lakini chama chake kimepoteza umaarufu jimboni kwake na
CHADEMA imedominate sn. Hata baadhi ya wanafamilia wake ni Chadema).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.
5.Joseph Selasini-Rombo
(wananchi wamemkinai japo chama chake bado kina nguvu jimboni).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.
6.Stephen Massele-Shinyanga (m)
(wananchi wamemkinai na chama chake kimepoteza umaarufu jimboni kwake).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.
7.Willium Ngeleja (Sengerema).
(Wananchi wamemkinai japo bado chama chake bado kina nguvu jimboni kwake)
ANTICIPATION: CCM watashinda.
8.Mch.Luckson Mwanjali-Mbeya (v)
(wananchi wamemkinai na chama chake kimepoteza umaarufu jimboni kwake. However hajui kujenga hoja kbs huyu mzee).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.
9.Emmanuel John Nchimbi-Songea (m)
(Wananchi wamemkinai na chama chake kimepoteza umaarufu jimboni kwake).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.
10.Kisyeri Chambiri-Babati (m)
(wananchi wamemkinai na chama chake kimepoteza umaarufu jimboni kwake).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.
YALIKUWA NI MAWAZO YA MTOA MAONI GODLISTEN MELISA
No comments:
Post a Comment