Yawezekana huyu ndiye nyoka mkubwa kuwahi tokea duniani...alipatikana mwezi august mwaka 2012 katika bahari ya SHAMU huko nchini EGYPT
Aliweza kumeza watalii zaidi ya mia tatu hivyo kufanya nyoka huyo kuogopwa sana kwani hakujulikana maficho yake
Mpaka timu ya wataalamu wa EGYPT ELLITE walipofanya uchunguzi wao na kujua maficho yake ambapo walifanikisha kumkamata na kumpeleka eneo maalumu kwa ajili ya kumuhifadhi..........
No comments:
Post a Comment